Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400016600591_318467.jpg
 
dah aliyevumbua silaha za maangamizi mungu aendelee kumuadhibu huko aliko.....binadamu tumepoteza hisia za utu.
simfuatiliaji sana wa siasa za mashariki ya kati ila nasikitishwa sana na yanaoendelea kutendeka huko.

kuna utofauti mdogo sana wa kiuelewa kati ya bara arab na bara la afrika
 
wewe na mwili wako tu, sasa mimi nikiwa home ikifika saa 10 najifanya kulala kimachale huku nikiwa nimetega mzigo wangu

mzee wangu ana kawaida ikifika saa 11 ananiamsha kwa ajili ya sala ya asubuhi na sipendi anikute niko macho.
ila nikiwa huku nilipo muda huu, nakesha kuliko CNN
Hahahahah umenikumbusha mbali wapenda movie tuna vitu vinavyofanana. Unaweza lala saa kumi na mbili mara paap saa moja umeamshwa.
 
dah aliyevumbua silaha za maangamizi mungu aendelee kumuadhibu huko aliko.....binadamu tumepozetea hisia za utu.
simfuatiliaji sana wa siasa za mashariki ya kati ila nasikitishwa sana na yanaoendelea kutendeka huko.

kuna utofauti mdogo sana wa kiuelewa kati ya bara arab na bara la afrika
Uzembe wa viongozi. Wamerundika haya maelfu ya tani za kemikali hatari kwa zaidi ya miaka sita pamoja na kuonywa mara nyingi kuwa ni hatari.

Mashariki ya Kati shida yao mojawapo kubwa ni uwepo wa mafuta (na lile taifa teule). Sidhani kama kutakaa kutulie hata siku moja.

Meli iliyobeba kemikali iliyosababisha mlipuko ilifikaje Beirut? - BBC News Swahili
 
unamaanisha hapatakuwepo solution ya kuondoa tatizo(mgogoro wa taifa teule)......
Inasemekana kuwa mzozo wa hao wana wawili wa baba wa imani Ibrahimu hautakaa uishe mpaka siku ya mwisho. Na as long as kuna mafuta; mabeberu watakuwepo pale kuhakikisha kuwa uhasama wa Kishia na Kisuni (Iran vs Saudia n.k.....) unazidi kuimarika huku wao wakipata kilichowapeleka huko. Kimsingi huu ni mzozo wa kiuchumi japo pia kuna mwingiliano wa sababu kibao za kihistoria na kiimani.
 
Back
Top Bottom