Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Exactlyuzuri zaidi, unaangalia mpira mpaka saa 6 then unaunganisha bando
dah aliyevumbua silaha za maangamizi mungu aendelee kumuadhibu huko aliko.....binadamu tumepoteza hisia za utu.
chukuaNa mimi nipewe😭😭
Nimepata umeipata ??chukua
Hahahahah umenikumbusha mbali wapenda movie tuna vitu vinavyofanana. Unaweza lala saa kumi na mbili mara paap saa moja umeamshwa.wewe na mwili wako tu, sasa mimi nikiwa home ikifika saa 10 najifanya kulala kimachale huku nikiwa nimetega mzigo wangu
mzee wangu ana kawaida ikifika saa 11 ananiamsha kwa ajili ya sala ya asubuhi na sipendi anikute niko macho.
ila nikiwa huku nilipo muda huu, nakesha kuliko CNN
umeipataNim
Nimepata umeipata ??
Uzembe wa viongozi. Wamerundika haya maelfu ya tani za kemikali hatari kwa zaidi ya miaka sita pamoja na kuonywa mara nyingi kuwa ni hatari.dah aliyevumbua silaha za maangamizi mungu aendelee kumuadhibu huko aliko.....binadamu tumepozetea hisia za utu.
simfuatiliaji sana wa siasa za mashariki ya kati ila nasikitishwa sana na yanaoendelea kutendeka huko.
kuna utofauti mdogo sana wa kiuelewa kati ya bara arab na bara la afrika
Queen anataka kufata nyayo za mama mgwira sijui nimepatia jina boss mkoa kilimanjaro
unabaki kutukana kizembeHahahahah umenikumbusha mbali wapenda movie tuna vitu vinavyofanana. Unaweza lala saa kumi na mbili mara paap saa moja umeamshwa.
Wanawake wanahimizwa kugombea. Hata asipopata cho chote kesho na kesho kutwa utamkuta RC, RAS, DED....Queen anataka kufata nyayo za mama mgwira sijui nimepatia jina boss mkoa kilimanjaro
unamaanisha hapatakuwepo solution ya kuondoa tatizo(mgogoro wa taifa teule)......Mashariki ya Kati shida yao mojawapo kubwa ni uwepo wa mafuta (na lile taifa teule). Sidhani kama kutakaa kutulie hata siku moja.
Inasemekana kuwa mzozo wa hao wana wawili wa baba wa imani Ibrahimu hautakaa uishe mpaka siku ya mwisho. Na as long as kuna mafuta; mabeberu watakuwepo pale kuhakikisha kuwa uhasama wa Kishia na Kisuni (Iran vs Saudia n.k.....) unazidi kuimarika huku wao wakipata kilichowapeleka huko. Kimsingi huu ni mzozo wa kiuchumi japo pia kuna mwingiliano wa sababu kibao za kihistoria na kiimani.unamaanisha hapatakuwepo solution ya kuondoa tatizo(mgogoro wa taifa teule)......