Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
One percent of something
[emoji818][emoji818]Mshambuliaji wa Arsenal na Gabon Pierre -Emerick Aubemayang ,31, anakaribia kutia saini mkataba wa miaka mitatu na klabu hiyo.. (Telegraph - subscription only)
😀😀 OutMambo magumu
😀😀 Out
Mambo gani mnaangalia hayo? Wengine tuko kwenye mapangoni huku Tora Bora, wala hatujui kinachoendelea. 😁😁Mambo magumu
Mmmh bora uliyepo mapango . mmh wengine mioyo imevunjika vunjika na kupondeka opsss mpiraaaMambo gani mnaangalia hayo? Wengine tuko kwenye mapango huku Tora Bora, wala hatujui kinachoendelea. 😁😁
Ulkuwa wapi Cristiano ama MadridistaSad kwa kweli
Pole... ingawa umekazia hapo! 😁Mmmh bora uliyepo mapango . mmh wengine mioyo imevunjika vunjika na kupondeka opsss mpiraaa
Muda wa siasa huu swali lingekuwa bora zaidi Kati JPM Na TAL nani zaidi all and allNgoja tumalize utata hivi kati ya diamond na alikiba nani unampa kura kama tukirudi nyuma na kwenda mbele?
PoteUlkuwa wapi Cristiano ama Madridista
Aaah nilisahau Hongera sana poti.Pole... ingawa umekazia hapo! 😁