Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwaheri Ngassa
Uwezo wako umeutumia vibaya, tulikuonya ukatudharau.
Sasa pambana na hali yako View attachment 1530427
Ndiyo ishatoka hiyo. Nilikuwa nawaona akina marehemu Edward Chumila na wenzake wanacheza mchangani jioni katika uwanja wa Bulyaga pale hata pesa hawana wapo wapo tu yaani. Bila akili na kutumia pesa vyema hawa jamaa wengi wao mwisho huwa siyo mzuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…