Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Da'Vinci hope hujabadili ID

MILIPUKO MITANO MIKUBWA ILIYOWAHI KUTOKEA DUNIANI1) Hiroshima - Japan 6/8/1945 asubuh2) Nagasaki - Japan 9/8/1945 asubuh3) Beirut - Lebanon 4/8/2020 jioni4) Halifax - Canada 6/12/1917 asubuh5) Texas City - Marekani 16/4/1947 asubuh
 
Wakeshaji (Mapopo) kwa kiasi kikubwa huwa singo (Hawana mpenzi) na huongoza kwa kufanya mapenzi zaidi na wanawake mbalimbali sababu ikitajwa ni uwepo wa kiasi kikubwa cha Cortisol homoni kwa wakeshaji na kuwasukuma kufanya tabia hatarishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…