Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TENDE
Tende, ambayo ni maarufu sana katika nchi za arabuni na ukanda wa mwambao wa Tanzania, ni miongoni mwa vyakula vyenye faida kubwa mwilini. Sifa ya kwanza ya tende ni uwezo wake wa kuupa nguvu moyo dhaifu na kuupa nguvu mwili (energizer). Wale wenye matatizo ya moyo kukosa nguvu tende zitawasaidia. Tende nayo ni mlo tosha unaopaswa kuwepo katika orodha ya milo yetu ya kila siku.
 
Katika maisha tunayoishi hivi sasa, ili mtu kuupa mwili wako kinga imara dhidi ya maradhi mbalimbali na ya hatari, hatuna budi kuzingatia ulaji wa vyakula mchanganyiko vya asili na kuacha kupenda kula vyakula visivyokuwa na faida katika miili yetu ambavyo mara nyingi tunapenda kuvila, kwa sababu ni vitamu mdomoni.
 
Huyu jamaa alizikataa ofa kibao za kusakata soka nje zilizokuja kupitia Simba, kwa madai eti atachezea Yanga maana ana mapenzi ya dhati na timu hiyo.
Lakini ndiyo hivyo, timu anayoipenda wameshaona uwezo wake umekwisha
Aaah moud umeongeza chumvi za kishabiki. Ngassa uwezo wa kucheza nje hana na mwenyewe alijua hilo. Alishaenda huko akachemsha nadhan ilikua majaribio au mkataba mfupi,aliporudi tu akakimbilia kuoa mke wa pili.

Wachezaji wengi wanapewa sifa kubwa uwezo hawana. Simba mlifanikiwa kwa samatta tu,wengine hola wanajikaza tu huko walipo hata hawafurukuti,mfano ulimwengu,banda
 
Screenshot_2020-08-10 (3) Home Twitter.png
 
Back
Top Bottom