Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Instagram wamezindua App iliyopewa jina la Reels' ambayo inakuwezesha kutengeneza video fupi kama ambavyo uwezo huo unaupata kupitia TikTok' na kisha kuzisambaza kwa wafuasi wako. Kwa sasa imeanza kupatikana katika nchi takribani 50 zikiwemo Uingereza na Marekani, Wakati huo Rais Trump ametoa siku 45 kwa mitandao ya WeChat na TikTok ili kubakia nchini humo inabidi waruhusu kununuliwa na Wamarekani bila hivyo itazuiwa.