Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mmmh yale mapicha picha yao watu tunadhan anaishi kwa furaha,sonona inatoka wapi sasaSi ajabu atasema Trump ndiyo sababu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1530451
Aaah moud umeongeza chumvi za kishabiki. Ngassa uwezo wa kucheza nje hana na mwenyewe alijua hilo. Alishaenda huko akachemsha nadhan ilikua majaribio au mkataba mfupi,aliporudi tu akakimbilia kuoa mke wa pili.Huyu jamaa alizikataa ofa kibao za kusakata soka nje zilizokuja kupitia Simba, kwa madai eti atachezea Yanga maana ana mapenzi ya dhati na timu hiyo.
Lakini ndiyo hivyo, timu anayoipenda wameshaona uwezo wake umekwisha
Aunt upo fasta[emoji855][emoji855][emoji855]View attachment 1531295
Hahahaah hwaamin wanachokionaGsm 2 Mo 0
Hahahah soka la hapa nyumbani linafurahisha sanaHahahaah hwaamin wanachokiona
Machibya eeeh!? Ngosha huyu. Halafu nisikie tena akina ngosha washamba [emoji16][emoji16][emoji16]