Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KILIMO BORA CHA MCHICHA.Kilimo cha mchicha ni rahisi kufanyika katika mazingira yote iwe ni katika bustani ya nyumbani au bustani ambayo si ya nyumbani, Mchicha unaweza limwa kwa lengo la kibiashara na kukidhi mahitaji ya nyumbani kwa lishe bora. Mchicha ni mboga za majani ambazo chanzo kizuri cha viini lishe, kuongeza damu katika mwili wa binadamu, vitamin C na madini.
 
UTAHAYARISHAJI WA SHAMBATengeneza shamba la mchicha kwa kutifua ardhi na kulainisha udongo wenye kina cha sentimeta thelathini. Weka mbolea ya samadi debe moja katika kila mita moja ya mraba. Panda mchicha katika matuta yenye upana wa sentimita tisini hadi mia moja (90SM kwa 100SM)
 
NAMNA YA KUDHITI WADUDU WAHARIBIFU

Adui mkubwa wa mchicha ni wadudu aina ya mafuta au kitaalamu zaidi huitwa APHIDS ambao hufyonza utomvu wa mchicha na kusababisha majani kujikunja, mchicha kusinyaa na kunyauka. Kudhibiti wadudu hawa mwagilia mchicha wako kutumia chombo kinachotoa maji mithili ya mvua kitaalamu kinaitwa “watering can” ili kuwadondosha wadudu hao.Wadudu wengine ni kitambazi ambacho hula majani ndani kwa ndani hivyo tumia mwarobani kunyunyuzia majani ili kuwaua wadudu hao waharibifu.
 
NAMNA YA KUHIFADHI MCHICHA KWA SIKU NYINGI ZAIDI•

Baada ya kuvuna funga mashina ya mchicha na weka kaatika chombo chenye maji kwa kufanya hivyo unaweza kuhifandhi mchicha kwa muda wa masaa ishirini na nne yani siku moja.Ili kuhifadhi mchicha kwa zaidi ya miezi mine fanya kama ifuatavyo:-
 
Vuna mchicha wako kisha usafishe vizuri• Funga kaitika mafungu mafungu• Chemsha maji mpaka yachemke• Tumbukiza mafungu ya mchicha katika maji yanayochemka kwa muda wa dakika moja hadi mbili.• Kausha vizuri chini ya kivuli na utunze mchicha wako katika sehemu isiyo na unyevunyevu.
 
Back
Top Bottom