KILIMO BORA CHA MCHICHA.Kilimo cha mchicha ni rahisi kufanyika katika mazingira yote iwe ni katika bustani ya nyumbani au bustani ambayo si ya nyumbani, Mchicha unaweza limwa kwa lengo la kibiashara na kukidhi mahitaji ya nyumbani kwa lishe bora. Mchicha ni mboga za majani ambazo chanzo kizuri cha viini lishe, kuongeza damu katika mwili wa binadamu, vitamin C na madini.