Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wasukuma bana dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
400073500836_18510.jpg
 
Kwa kutumia makopo ya maji makubwa, weka maji na kisha toboa tundu dogo kwa chini kisha funga kifuniko chako vyema kutorusu hewa kuingia, kwa kufanya hivyo utawezesha matone madogo ya maji kuufikia mmea, nah ii itakuwezesha kutotumia maji na maji megi na bali maji yataakayo tumika yatatumika kwa ufasaha sana.
 
Back
Top Bottom