D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
umeona eeeeeehhhhhh....TTCL wameshaanza kuleta ufala......Halotel wakija wakinuna sijui tutaweka wapi sura zetuKweli stock muhimu hatujui net itachezewaje na wenye siasa zao.
Hapo nimeangalia nne tu
Asavali umenitia moyo.... asante kwa kunipokea mwanachama mpya ndugu mwenyekitii🥳karibu klabuni....sijawahi kukukaribisha.........kunywa mpaka usahau viatu vyako
Jeuri yenu nimeijua hahah.umeona eeeeeehhhhhh....TTCL wameshaanza kuleta ufala......Halotel wakija wakinuna sijui tutaweka wapi sura zetu
uzuri hiki chama chetu wala hakichukui ruzuku kutoka kwa wanachama.....pesa yako na bando lakoAsavali umenitia moyo.... asante kwa kunipokea mwanachama mpya ndugu mwenyekitii🥳
Kama mie lakini kati kati niliielewa vizuri tu na nikaipenda mnoMpaka saivi camelia sijaelewa inaelekea wapi.....ila siiachi
Halotel ni unlimited...unapata 4g ya ukweli ndani ya dakika 20 nimeshashusha completed drama na season 1.....Jeuri yenu nimeijua hahah.
Kweli tunajifunza mengi mno hasa kula tambi kwa toothpick hahahah ile miti yao sijui inauzwa wapi na sietujikutetupo Seoul🙏😍I`m humbled auntie....huwa na enjoy sana nikipata filamu zinazovutia, naamini sikosi cha kujifunza humo.
Ttcl tangu mwanzo nilikuasimalizi gb 10 zao. Halotel mkomboz kwa kweli maana anakupa unlimited na nyongeza.umeona eeeeeehhhhhh....TTCL wameshaanza kuleta ufala......Halotel wakija wakinuna sijui tutaweka wapi sura zetu
Na machozi yake ya karibusingle mother na harakati zake
Waaaaoh, basi mna raha hukoo,Halotel ni unlimited...unapata 4g ya ukweli ndani ya dakika 20 nimeshashusha completed drama na season 1.....
najiuliza what next....
ngoja nirudi google nitafute project nyengine
welikamu homeWaaaaoh, basi mna raha hukoo,
Hanizidi mimi 😆Na machozi yake ya karibu
Nipo huko ila 3g tu ya kusuasuawelikamu home
Nami najipa matumainiKama mie lakini kati kati niliielewa vizuri tu na nikaipenda mno
Itabidi tuanze kutumia zile stick za mishkaki😀Kweli tunajifunza mengi mno hasa kula tambi kwa toothpick hahahah ile miti yao sijui inauzwa wapi na sietujikutetupo Seoul
unaishi shinyanga?Nipo huko ila 3g tu ya kusuasua
Nachingwea hukounaishi shinyanga?
Nipo huko ila 3g tu ya kusuasua
na hii itazoea tu maana haina week😉Hata mie nipo 3g