Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hebu tujiulize wale wote wanaozungumzia matatizo ya ajira pasina kutafuta majibu ya suluhisho la suala hilo wapo wapi? Je tatizo limeisha au ndo kwamba limezidi? Majibu unayo wewe mpenzi msomaji wa Makala haya. Maana yangu ni kwamba laiti tungekuwa tunazungumza majibu ya tatizo la ajira, huenda tungekuwa tulishapata majibu ya tatizo hili. Najaribu kuwaza kwa sauti.