Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hebu tujiulize wale wote wanaozungumzia matatizo ya ajira pasina kutafuta majibu ya suluhisho la suala hilo wapo wapi? Je tatizo limeisha au ndo kwamba limezidi? Majibu unayo wewe mpenzi msomaji wa Makala haya. Maana yangu ni kwamba laiti tungekuwa tunazungumza majibu ya tatizo la ajira, huenda tungekuwa tulishapata majibu ya tatizo hili. Najaribu kuwaza kwa sauti.
 
Suala la vyuma kukaza pamoja na jamaa kubana ni kubaki kuzungumzia matatatizo, japo hata kama ukweli unaona upo hivyo, unachotakiwa kufanya ni kutafuta majibu ya vyuma hivyo kukaza na si kubaki kuendelea kulizungumzia masuala hayo pasina kutafuta suluhisho.
 
Mara nyingi katika maisha yako ya kila siku huna budi kujifunza kuwa chanya, haijalishi maisha ni magumu kiasi gani ambayo unayapitia. Na sifa kuu ya mtu kuwa chanya si kuungana na watu wengine kushabikia vitu ambavyo havina msaada wowote katika maisha yako, bali ni kusimama kidete wewe kama wewe kwani maisha yako uyajuae ni wewe.
 
Pamoja na hali ya kiuchumi kubadilika kama wengi wasemavyo, kwa kuwa wewe ni mtu chanya na kama nilivyosema hapo awali uache mara moja tabia ya kuzungumzia masuala ya matatizo bali jifunze kutafuta majibu ya matatizo hayo.
 
1. Mboga za majani zina mafuta kidogo sana. Mafuta yake yayenyushwa vizuri na joto la mwili kuliko mafuta yatokanayo na mboga za vitoweo vya nyama.
 
2. Mboga za majani zina nguvu ukaa kidogo sana kulinganisha na mboga zingine kama nyama. Nguvu ukaa zikiwa nyingi mwilini kutokana na chakula zinakuwa mafuta mwilini ambayo unanepa sana na uzito kuongezeka mwilini.
 
Kwa hiyo mboga za majani zina sifa zote za kukufanya upunguze uzito kwani zina vitamini nyingi sana na madini ambayo ni muhimu katika kuufanya mwili wako uwe na afya nyama muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…