Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alikamatwa baada ya kuwa kwenye kizuizi cha nyumbani wakati polisi walipomtuhumu kuwa alipanga kupanga kujitangazia matokeo.
 
Kulikuwa na habari kwamba angefika makao makuu ya Tume ya Uchaguzi kuitisha matokeo rasmi ya kina ya uchaguzi wa urais, kabla ya kukamatwa kwake.
 
Bwana Besigye alikuwa msatari wa mbele kupinga muswada wa mwaka Januari mwaka 2019 wa kufuta kikomo cha umri wa miaka 75 ambao ulikuwa sheria Disemba 2017 ulihojiwa kwenye mahakama ya juu kabisa nchini Uganda.
 
Katika mahojiano yake na BBC 2019 Bwana Besigye asema kuwa aliamua kujiunga na mwanasiasa mwingine wa upinzani na mbunge wa Kyadondo Robert Kyagulanyi al maarufu Bobi Wine ikiwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya utawala wa rais Museveni.
 
Mpaka oktoba asipoonekana naanza kuja kupokea vimaua maua na vichokletii kwa Ngosha.... wote haooo jamani nilivyo mvivu hivi[emoji28][emoji28][emoji28].
 
[emoji818][emoji818]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…