Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tena aunt alikua anachochea utambi eti wapigwe tu kauchoka upara wa pep. Bora umuulize Bradha nae hana hamu katandikwa goli 12 ndani ya wiki moja
Hawa City wamekuwa kichwa cha mwenda wazimu, wasije nifanye nirudi nyumbani nilikotoka, Arsenal! πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
[emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] topic iliishia hapo. Tupo kwenye mayai
Mi wala sikuelewa kitu. Ndo maana sikukomenti. Nilipofuatilia nikakuta mayai sijui yana cholesterol sijui nini nikaona ngoja nigonge likes tu niende zangu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…