Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeiweka kiporo, naimalizia Gangs of London kwanza


Screenshot_2020-08-20 Uzi maalum wa kupeana Likes Comment chochote upate Like (1).png




Weekend ilopita nimemaliza Peaky blinders, jana nmeanza the wire!

Nikimaliza hiyo nitakuja kwa hao wahuni wa London alafu hizo zinafuata hapo
 
View attachment 1543246



Weekend ilopita nimemaliza Peaky blinders, jana nmeanza the wire!

Nikimaliza hiyo nitakuja kwa hao wahuni wa London alafu hizo zinafuata hapo
List yako ipo poa sana Bro,hiyo The Punisher ipo poa sana, Dark bado sijaipatia muda...

Akili yangu yote kwa sasa nataka niipeleke Peaky Blinder, imepewa sifa sana kwamba ni moto wa kuotea mbali!!
 
Back
Top Bottom