moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wamempa agombee jimbo gani bro?Nimeamini ccm ina wenyewe,DED wa dodoma Mr Kunambi,kaenguliwa uteuzi jana na leo katangazwa mgombea ubunge bila hata kupitia kura za maoni .Maajabu haya yanapatikana Tanzania ya ccm tu