Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yanga wapokea vifaa vyao
FB_IMG_1597944106948.jpg
 
>Mkundi alishindwa kura ya maoni lakini wamembeba.
>Katambi ameshindwa kura ya maoni wamembeba.
>Gekul alishindwa kura ya maoni naye wamembeba
>Cecil Mwambe ameshindwa kura ya maoni naye amenyanyuliwa.

Na wengine kadhaa.
Kwenye udiwani karibu madiwani wote waliounga mkono juhudi na ambao waliangushwa kwenye kura ya maoni wamepewa nafasi ya kugombea
Hapana, huyo Mkundi nasikia ndie aliongoza kura za maoni.
 
UCHAGUZI DERBY.....


MDEE VS GWAJIMA

SUGU VS TULIA

KIMEI VS MBATIA

GAMBO VS. LEMA

WAITARA VS. HECHE

REFA Adam mchomvu...[emoji23][emoji23][emoji23]
Uchuguzi utagubikwa na sintofahamu nyingi zitakazobadirisha muonekano wa siasa za Tanzania.
Wana CCM watafurahia kitakachotokea lakini baadaye watajuta.
Tuombe nguvu, uzima na uhai tuone kitakachojiri
 
Back
Top Bottom