Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Muone [emoji16]Si hayo uliyouliza. [emoji16]
Nimeiweka kiporo, naimalizia Gangs of London kwanza
Duh hadi chenge kakatwa1.Mtemi CHENGE OUT
2.Balozi DCI Adadi OUT
3. Serukamba OUT
4. Tizeba OUT
5. Mwakyembe OUT
6. Kapuya OUT
7. Makalla OUT
8. Lugola OUT
9. Mtemvu OUT
10. *PAUL MAKONDA OUT KABISAAAAA*
List yako ipo poa sana Bro,hiyo The Punisher ipo poa sana, Dark bado sijaipatia muda...View attachment 1543246
Weekend ilopita nimemaliza Peaky blinders, jana nmeanza the wire!
Nikimaliza hiyo nitakuja kwa hao wahuni wa London alafu hizo zinafuata hapo
Ipo poa sana! Vipi Gangs of London?List yako ipo poa sana Bro,hiyo The Punisher ipo poa sana, Dark bado sijaipatia muda...
Akili yangu yote kwa sasa nataka niipeleke Peaky Blinder, imepewa sifa sana kwamba ni moto wa kuotea mbali!!
kajamaa ka Ukerewe kalikuwa Chadema naona kamepeta tena CCM.>Kangi Lugora nje,
>Harrison Mwakyembe tupa nje
>Kafulira tupa nje
>Lijualikali nje
>Venance Mwamoto nje
>Abasi Mtemvu weka mbali
Hujambo lakini?Muone [emoji16]
Ipo vizuri sana, haichoshi unataman uendelee kila kutizama kila episode zinazofata...Ipo poa sana! Vipi Gangs of London?
Kweli mambo yamekuwa mambo, mpaka Chenge out? 😁1.Mtemi CHENGE OUT
2.Balozi DCI Adadi OUT
3. Serukamba OUT
4. Tizeba OUT
5. Mwakyembe OUT
6. Kapuya OUT
7. Makalla OUT
8. Lugola OUT
9. Mtemvu OUT
10. *PAUL MAKONDA OUT KABISAAAAA*
Yes! Johnny mdogo ake Tommy. dogo amefanya vizuri sana.Ipo vizuri sana, haichoshi unataman uendelee kila kutizama kila episode zinazofata...
Huyu jamaa anapatikana kwenye Peaky,,kwenye Gangs pia yupoView attachment 1543271
Ok poa bro!! Kila la kheriYes! Johnny mdogo ake Tommy. dogo amefanya vizuri sana.
Nitaitizama baada ya The wire.
Poa Bro,Ok poa bro!! Kila la kheri