ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
When I'm on your shoulders! You raise me high!True my Queen wewe ni jembe kweli kweli unasukuma huu Uzi kwa kasi sana
When I'm on your shoulders! You raise me high!True my Queen wewe ni jembe kweli kweli unasukuma huu Uzi kwa kasi sana
Mtalala giza
Thank you!True my Queen wewe ni jembe kweli kweli unasukuma huu Uzi kwa kasi sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] mzee wa ini acha kuniharibia kwa cole bhana
Ashindwe kabisa mimi siwezi kukuacha ww afu niishi mwenyewe I love you so and I will never let u goo[emoji23] [emoji23] mzee wa ini acha kuniharibia kwa cole bhana
MuroNipo my princess
Hivi chid benz kaacha unga?Msanii wa Bongo Fleva, Chini Bees amesema hawezi kubadilisha jina ili kumkwepa Chid Benz. Wiki iliyopita rapper Chid Benz alimtaka msanii huyo kubadili jina kwa sababu yanafanana kitu ambacho Chin Bees amekuja kukupinga. “Mimi siwezi kubadilisha jina kwa sababu ya Chid Benz kwa sababu halifananini, very different. Mimi nafanya muziki wangu, siwezi nikakaa nipiganie jina, hivyo bro kama anahitaji jina dah!, sidhani kama jina langu linaendana na lake me am do my thing,” Chin Bees ameiambia E-News ya EATV. Sababu ya Chid Benz kumtaka Chin Bees kubadili jina aliadai kwanza yamefanana na pili yeye ana hit song song 32 huku akiadai C. Bees hana hata nyimbo saba, hivyo hawafanani
Not in San Pedro.......
John cena hakuna kama huyu