Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakuu, pay attention kidogo hapa. Shirika la Afya Duniani (WHO) wametangaza wiki hii kuwa Gono sugu sasa ni janga la kiafya katika nchi 77 duniani Tanzania ikiwemo. Gono hili ukilipata hakuna antibiotic itakayofua dafu na mdudu anayeisababisha ana-mutate kwa kasi ya kutisha. Wameilaumu India kwa kuruhusu matumizi holela ya antibiotics hata kwa homa za kawaida; na ubutu wa madawa mengi umekuwa ukianzia huko na kusambaa duniani kote.

Tuwe waangalifu....
66836359880c65a0eb0752853c96d8a6.jpg
 
Back
Top Bottom