moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Shwari, niajeHabari yako
SawasawaNchini Tanzania Nyati hupatikana kwenye Mapori mengi ya akiba na Hifadhi za Taifa.
😂 😂 😂 😂Mwaka 1984, Waziri Mkuu wa New Zealand Sir. Robert Muldoon baada ya kunywa pombe (Whiskey) alilewa na ghafla aliitisha uchaguzi wa kustukiza, Uchaguzi ulipofanyika tena alishindwa.Credit: Ayo Tv
Aiseee.....Nchi zenye amani zaidi kwa mwaka 2020;
1. Iceland
2. New Zealand
3. Portugal
4. Austria
5. Denmark
6. Canada
7. Singapore
8. Czech Republic
9. Japan
10. Switzerland
*52. Tanzania
Kazi maalum kwa madume......Nyuki: Majike tu ndio hushughulika na kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kutengeneza asali, na ndio pia wenye uwezo wa kuuma', Madume kazi yao ni kwaajili ya uzalishaji (Reproduction).