Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KITU KIPYA
Baada ya kutumia mtindo wa kuingiza wachezaji watano wa akiba katika Ligi Kuu, na wachezaji tisa wanatakiwa kuwa katika benchi la wachezaji wa akiba, baada ya ligi kuanza kufuatia kusimama kwa sababu ya virusi vya corona 2019/20 idadi ya mechi ilirejea katika hali ya kawaida.
 
Haahahaa ile matatizo mengne watu wanajitakia wenyewe, kisa cha kumeza hayo madawa ni nini lakini!
Mtu hajiamini na performance yake au anameza ili ndo aonekane kidume, ona matokeo yake sasa.
 
Paris St-Germain na Manchester United wanapigiwa upatu kumsajili Lionel Messi baada ya mshambuliaji huyo wa Argentina, 33, kuifahamisha Barcelona kwamba anataka kuondoka - wako tayari kulipa ada ya kumpata. (Sport - in Spanish)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…