myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hizo ndizo shughuli zetu - Baharia 4:10-13
Ile Avatar kila nikiitoa mnataka nirudishe watoto wa jF mna nini lakini🤣🤣🤣!!!Wai hebu rudisha ile avatar kwanza. Mwamba alizingua sanaaa
Jambo gani ilo baharia? 😂😂😂
Irudishe bana, ilikupendezea.Ile Avatar kila nikiitoa mnataka nirudishe watoto wa jF mna nini lakini🤣🤣🤣!!!
Jambo flani zuri sana, sema siri yetu!
Njoo chumba cha bodi kule nikuelekeze!Irudishe bana, ilikupendezea.
Baharia kama baharia nidokezee hapa ilo jambo... Afu usipende mambo ya siri siri sio mazuri
Ni kweli irudishe kamanda. Mimi siyo mtoto wa JF ila Ja Rule anakukubali sana. Unajua hili ni suala la kisaikolojia zaidi. Tunajua kuwa ID na avatar hizi ni feki lakini akilini mtu unakuwa tayari na association fulani hivi kati ya ID na avatar. Sasa ukikuta avatar imebadilishwa dah ubongo unagoma aisee. Rudisha avatar [emoji16][emoji16][emoji16]Ile Avatar kila nikiitoa mnataka nirudishe watoto wa jF mna nini lakini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!
Jambo flani zuri sana, sema siri yetu!
Ja Rule in da hausi [emoji16][emoji16]Njoo chumba cha bodi kule nikuelekeze!
Mambo ya kidiplomasia hayafai hapa.
Kwa kuwa umenipa maelezo ya kitaalamu wacha niirudishe tu 🤣🤣🤣... Umekula kura ya Ndiyo!Ni kweli irudishe kamanda. Mimi siyo mtoto wa JF ila Ja Rule anakukubali sana. Unajua hili ni suala la kisaikolojia zaidi. Tunajua kuwa ID na avatar hizi ni feki lakini akilini mtu unakuwa tayari na association fulani hivi kati ya ID na avatar. Sasa ukikuta avatar imebadilishwa dah ubongo unagoma aisee. Rudisha avatar [emoji16][emoji16][emoji16]
Depal njoo. Tayari huku [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa kuwa umenipa maelezo ya kitaalamu wacha niirudishe tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Umekula kura ya Ndiyo!