Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20200827-102526.png

Legendiiii
Bae naomba hela ya saloon ningendako 😂
 
Halafu ukifuatilia vizuri tarehe Extrovert aliyojiunga JF ndiyo tarehe ya kuzaliwa ya Ja Rule na alijiunga mwaka ambao Ja Rule anatimiza miaka 40! Extrovert unakumbuka niliwahi kukuambia hili!

What a coincidence! Usiache kumkubali huyo jamaa aisee na hiyo avatar ikiwezekana ufe nayo tu!
Basi siitoi tena hio avatar
 
Fathers, tell Your Son This Daily: -

I love you - I'm proud of you

- You're a strong man -

You're going to make a great father

Stop the cycle of generational hurt that the stoic, silent archetype has laced father-son relationships with

- He needs to hear your voice.
Nimeipenda hii. Natamani wanaume wengi wangeifanyia kazi
 
Back
Top Bottom