Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images (4).jpeg
 
Lionel Messi ambaye ameingia katika gumzo mitandaoni juu ya hatma yake ndani ya Barcelona baada ya kuomba kuondoka. Messi kwa upande wake anaamini ni mchezaji huru na anaweza kujiunga na klabu yoyote, tofauti na Barcelona ambao kwa upande wao wanadai bado ana mkataba mwaka mmoja.
 
Fathers, tell Your Son This Daily: -

I love you - I'm proud of you

- You're a strong man -

You're going to make a great father

Stop the cycle of generational hurt that the stoic, silent archetype has laced father-son relationships with

- He needs to hear your voice.
 
Ni kweli irudishe kamanda. Mimi siyo mtoto wa JF ila Ja Rule anakukubali sana. Unajua hili ni suala la kisaikolojia zaidi. Tunajua kuwa ID na avatar hizi ni feki lakini akilini mtu unakuwa tayari na association fulani hivi kati ya ID na avatar. Sasa ukikuta avatar imebadilishwa dah ubongo unagoma aisee. Rudisha avatar [emoji16][emoji16][emoji16]

Kweli kabisa! Kama tu wewe na Idris Elba!
 
Back
Top Bottom