Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeah nakumbuka kuhusu hilo my dear!
 
Korea Ya Kaskazini: Aprili 15 kila mwaka ni sikukuu ya kuzaliwa kwa mwanzilishi wa taifa hilo, Kim Il Sung. Ni siku inayopewa sana heshima katika taifa hilo, mwaka 2012 zaidi ya Tzs Trilioni 4.6 zilitumika kwaajili ya kufanya maadhimisho ya siku hiyo muhimu.
 
Korea Ya Kaskazini: Eneo zima la mpaka kati yake na Korea Ya Kusini inatajwa kama eneo lenye ulinzi mkali zaidi wa kijeshi duniani. Inakadiriwa watu milioni 25 wanaoishi hapo wengi ni makachero ambao wanafanya kazi ya kuchunguzana wenyewe.
 
Korea Ya Kaskazini: Kwa mwaka hupokea watalii 4,000-6,000 kutoka nchi za nje isipokuwa Korea Kusini mwananchi yeyote haruhusiwi kabisa kuingia. Mtalii ukiwa ndani ya nchi hiyo ni kosa la jinai kuongea na mwenyeji yeyote bila kibali maalum.

Chanzo: National Geographic
 
Kabila la Dani linapatikana Bonde la Baliem Magharibi mwa Papua huko Papua Guinea, Wana utamaduni ili kuonesha huzuni mfiwa hukata kidole chake ambacho kitazikwa na mwili wa marehemu. Hutajwa kama namna bora ya kuonesha upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…