Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunaona rangi ya vitu mbalimbali sababu ya mwanga na sio kwa sababu vitu hivyo vina rangi. Kinachotokea Mwanga unapofikia kitu fulani mfano ndizi, Ndizi hufanya absorption' ya kiasi cha mwanga kisha huakisi. Unapotazama kwa macho kiasi cha mwanga ulioakisiwa ndio unapata rangi fulani hiyo hutokana na kiasi cha (Wavelengths) kilichozalishwa katika mwanga ulioakisiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…