Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Unataka kusema huwezi kupambana hata kidogo ili kuokoa maisha yangu?Mimi mwenyewe nikipewa hilo swali au wewe ufe,mbona unakufa asbh na mapema kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Unataka kusema huwezi kupambana hata kidogo ili kuokoa maisha yangu?Mimi mwenyewe nikipewa hilo swali au wewe ufe,mbona unakufa asbh na mapema kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kana miaka mingapi kwa sasa?"Karibu nitaolewa, sitaki mahari ya hela nyingi miye"----- Wema SepetuView attachment 1549640
Hawa ni wa huko Rwanda na Uganda. Usukumani hawapo [emoji16][emoji16]Hivi ng'ombe wa aina hii ndiyo wa kuolea wanawake wenye misambwanda iliyoshiba?
Cc SYB, Nsamaka, ningendako.View attachment 1549641
Yaani nakuuwa mchana kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah! Unataka kusema huwezi kupambana hata kidogo ili kuokoa maisha yangu?
Hahah! Hufai weweYaani nakuuwa mchana kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kamanda pandikiza hiyo mbegu, nawapenda sana kuwaona ng'ombe wenye mapembe ya hivyoHawa ni wa huko Rwanda na Uganda. Usukumani hawapo [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema hilo naweza pambana ukapona ila ingekuwa kudifferentiate wallah tungekuzika [emoji1787]Hahah! Hufai wewe