Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siwezi Bro! Kwanza ni msukuma naskia 😬 😬Eat and run je?
Angekuwa Mhaya mwenzio je?Siwezi Bro! Kwanza ni msukuma naskia [emoji51] [emoji51]
Kwamba shida yako nipate tabu tu?Ila wewe nakuacha kwanza uhangaike
Natumia siku kibao kupata jibu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji134]Huyu ni yeye kweli? Mimi siwezi oa hata bure [emoji51]
Halafu huyu binti ni msukuma!!
Duh!! hebu tutonye....Uzi huu una chunusi.
Wangapi mnamjua chunusi na ni nani chunusi wa uzi huu?
NdiyoKwamba shida yako nipate tabu tu?
Aisee....Ujumbe wa Ponda Issa PondaView attachment 1549663
Hahah! Noma sana mzeeSiwezi Bro! Kwanza ni msukuma naskia 😬 😬
Wahaya ni fahari ya Tanzania Bro, ukioa mhaya huwezi kujuta maisha yako yote!!Angekuwa Mhaya je?
Kwa hio utakuja ee?Mungu saidia hii deal itimie