Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mapembe hayo ni hatari sana usiyaone hivyo japo ukiwahasi kidogo wanakuwa watulivu. Bila kuwahasi tegemea kesi za mauajiKamanda pandikiza hiyo mbegu, nawapenda sana kuwaona ng'ombe wenye mapembe ya hivyo