Mpaka inapitiliza.Raha raha
Mimi mwenyewe nimemkubaliAisee. We ni hazina ya Kiswahili aisee. Zikusanye hizi methali uzichapishe. Zinapotea na nyingine zinakuwa irrelevant.
Mi mwenyewe nashindwaga kuelewa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiviii
Likes za jf huwa ni mwisho tano amaaa!!....
Hapa ni kuacha ngono tu kwakweli...Wakuu, pay attention kidogo hapa. Shirika la Afya Duniani (WHO) wametangaza wiki hii kuwa Gono sugu sasa ni janga la kiafya katika nchi 77 duniani Tanzania ikiwemo. Gono hili ukilipata hakuna antibiotic itakayofua dafu na mdudu anayeisababisha ana-mutate kwa kasi ya kutisha. Wameilaumu India kwa kuruhusu matumizi holela ya antibiotics hata kwa homa za kawaida; na ubutu wa madawa mengi umekuwa ukianzia huko na kusambaa duniani kote.
Tuwe waangalifu....![]()
CocochanelMtumwa mwelewa hafunzwi adabu.
Nenda Kibiti mkuu, hutauona kamwe[emoji16] [emoji16] [emoji16]Huu uzi unaniboa sana *****, hv hakuna namna ya settings za kufanya nisiuone?
KweliInawezekana!
Njoo tufanye yetuNina mtambo wa kutakatisha fedha