moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angekuwa Mhaya mwenzio je?
Mmmh,Wahaya ni fahari ya Tanzania Bro, ukioa mhaya huwezi kujuta maisha yako yote!!
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atuzidishie afya na uzima [emoji120] [emoji120]
Una tatizo na wanawake wa kisukuma bro?
Mbona wa kawaida tu
Natania ni UTANI tuHahahah! Kwani mnautani na wasukuma?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huenda ni hilo eneo unaloishi.Yani Vodacom siku hizi, ni lazima utoe line uilambe then uirudishe,ndio utapata network! Mnakwama wapi?
au nihamie tigo pea
Hahahahahahaha[emoji23][emoji23]Wasukuma sio watu [emoji51] [emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23]Bro huu ni utani buana [emoji51] [emoji51]
Ngoja nikachukue swaliMwenyewe [emoji52]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1549696
Wema na Bashite hawatoshi kuthibisha hilo? Niongeze mwingine Bro ama umenielewa 😬 😬Hahahahahahaha[emoji23][emoji23]
Unatoa hukumu ya jumla kwa ajili ya "Kichwangumu" mmoja tu[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
AseeeSayari ya Miller iliyoigizwa katika baadhi ya Filamu kama Interstellar' ni kweli ipo, Sehemu kubwa imetawaliwa na kina kifupi cha maji. Ukikaa saa 1 ni sawa na miaka 7 Duniani, Kama uliondoka ukiwa na Miaka 15 na ukakaa huko masaa 10, Ukirudi..View attachment 1549704
Hapana bro mwingine muache [emoji23][emoji23][emoji23]Wema na Bashite hawatoshi kuthibisha hilo? Niongeze mwingine Bro ama umenielewa [emoji51] [emoji51]
Kuna lingine limoja hivi sema sitaki kulitajaa
Hahah kama ni watani basi nabonyeza button ya songesha, utani uendeleeNatania ni UTANI tu
Wasukuma ni watani wangu. Wasukuma ni nguvu kazi ya Taifa nawaheshimu sana!!
Kumbe ni mhaya[emoji134]Angekuwa Mhaya mwenzio je?
Ukachukue wapi?Ngoja nikachukue swali