Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Umekutana na papa wengi mpaka papa wemba
Hivi kumbe sikukukaribishaShukrani sana bro(Mungu ni mkubwa) ila tena soon kama akibariki nahisi nitakuwa narudi chimbo, kuhusu avater ngoja nifanye michakato itoke hapo....
Huyu Carba huyu atarudi tu muda sio mwingi, Mungu amsaidie akamilishe majukumu yake salama
Hivi mtu unajuaje kama kabila lako unaweza kuwa na utani na kabila flani au kuna kitabu cha makabila huko Wizara ya Tamaduni na michezo kina haya mambo?Hasa watoto wa kiume ndio kabisa[emoji2094]
Yaani kwamba hunipendi tu?Na Mimi sikuachii ng'oo
Nahakikisha nakosa swali
Unabangaiza tu bro. Ukikoromewa unarudisha majeshi na kuapolojaizi. Kama uliyekuwa unajaribu kumtania ni wa kike unakomaa naye hivyo hivyo kibishi bishi mpaka unamkula na maisha yanaendelea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hivi mtu unajuaje kama kabila lako unaweza kuwa na utani na kabila flani au kuna kitabu cha makabila huko Wizara ya Tamaduni na michezo kina haya mambo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi mtu unajuaje kama kabila lako unaweza kuwa na utani na kabila flani au kuna kitabu cha makabila huko Wizara ya Tamaduni na michezo kina haya mambo?
Mno[emoji2094][emoji2094]Yaani kwamba hunipendi tu?
Mungu Atabariki bro. Wakati ndiyo huu...Shukrani sana bro(Mungu ni mkubwa) ila tena soon kama akibariki nahisi nitakuwa narudi chimbo, kuhusu avater ngoja nifanye michakato itoke hapo....
Huyu Carba huyu atarudi tu muda sio mwingi, Mungu amsaidie akamilishe majukumu yake salama
Hahah! Nashangaa umenipokea tu na mambo ya kukosa maswali....Hivi kumbe sikukukaribisha
Karibu sana jukwaani[emoji2]
😂😂😂😂😂😂Unabangaiza tu bro. Ukikoromewa unarudisha majeshi na kuapolojaizi. Kama uliyekuwa unajaribu kumtania ni wa kike unakomaa naye hivyo hivyo kibishi bishi mpaka unamkula na maisha yanaendelea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ndio umejibu swali sio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Binti mpole tena? Hapo utaishia kula za uso tu. Ni anonimazi foreva [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binti mpole ni mtani wangu na aone hapa
Eti kwamba?Mno[emoji2094][emoji2094]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah! Nashangaa umenipokea tu na mambo ya kukosa maswali....
Ahsante
Ndiyo[emoji16]Ndio umejibu swali sio?
SirudiiEti kwamba?
Hahah! Mkate mgumu yake chao bro ...Binti mpole tena? Hapo utaishia kula za uso tu. Ni anonimazi foreva [emoji16][emoji16][emoji16]
Note: Wasukuma sisi, kwa vile ni kabila kubwa na tumeenea nchi nzima; ukiongezea na upole wetu, tunataniwa karibu na kila mtu hapa nchini. Kwa hiyo sehemu nzuri ya kuanzia ni kwa Wasukuma...ila tu usizidishe sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe ulijua nilikuwa wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kumbe ulikuwa chimbo?