Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1598525780528.jpg
 
Orodha ya matajiri zaidi duniani 2020 (Tzs- Tanzanian Shillings)

1. Jeff Bezos - 475 Trillion
2. Bill Gates - 269 T
3. Bernard Arnault & Family - 264 T
4. Mark Zuckerberg - 257 T
5. Elon Musk - 222 T
6. Warren Buffet - 187 T
7. Mukesh Ambani - 185 T
Ingependeza sana kama ungeweka na uraia wa kila mmoja
 
Najua ni utani lakini usiseme hivyo. Bila Wahaya nchi hii isingekuwa hapo ilipo. Nimesoma huko kwao miaka 6 na wamesoma sana sawa tu na Wachaga na Wanyakyusa. Japo pale Bukoba mjini kumechoka kumechakaa miaka nenda miaka rudi lakini hilo lisikutishe. Ukiingia huko vijijini ndani ndani ndiyo utauona mziki wao. Maghorofa makali na ma Range Rovers yamepaki tu na getini wanakuwekea na jina la mwenye mji na madigrii yake yote. Na kwa ujumla ni wakarimu sana (hasa wao kwa wao) na mabinti wa huko ni wapole, hawana choyo, weusi wa asili wenye mamiguu na misambwanda ya kufa mtu. Mbali na majivuno na kujiona kuwa wao ni bora kuliko makabila mengine yote, ni watu wema sana. Baadhi ya marafiki zangu wa kweli ni Wahaya niliosoma nao huko!
Kwamba "hawana choyo"
 
Halafu nadhani sijakukaribisha hapa tena bro. Hongera kwa kumaliza chimbo lako salama na karibu tena japo hiyo avatar inanikera balaa kwa sababu kabisa haiendani na haiba yako.

Nyote watatu mkiwepo hapa kabumbu huwa linasakatwa kweli kweli. Huyo anayekosekana tumuombee awe salama huko aliko...
Carbamazepine na mpendwa Hawachi.
Popote mlipo jitokezeni
 
Back
Top Bottom