Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah sawaWa t-shirt nyeupe
Hahah sawaWa t-shirt nyeupe
Basi watu wazima tunaelewana vyema hapa.... PoleAlikuwa na undugu na shetani nadhani
😀😀😀😀Usinitishe
Chao ni nini.? Eti🙄Hahah! Mkate mgumu yake chao bro ...
Kila kitu kikizidi kinapoteza maana ila nashukuru kwakunipa pakuanzishia utani
Unanitisha wakati TH kishakuja 😀Na nikipewa swali la log unakufwa
😂😂😂😂 aaah ndio umeamua iwe hivyo eeh?Chao ni nini.? Eti🙄
Swali ninalo mimi [emoji23][emoji23][emoji23]Unanitisha wakati TH kishakuja [emoji3]
Atapambana mpaka karatasi lichanike 😀Swali ninalo mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Haha, Hata sijaketi chini 😄Unanitisha wakati TH kishakuja 😀
Keti kwanza basi 😀Haha, Hata sijaketi chini 😄
😂😂😂😂😂😂😂 aaah ndio umeamua iwe hivyo eeh?
Niletee na kinywaji kabisaKeti kwanza basi 😀
Si umeamua kumwaga mboga?
Bado unatumia kinywaji kimoja na wadudu kama vile Sisimizi na nyuki au ulishapiga hatua?Niletee na kinywaji kabisa