Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hilo la log[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukachukue wapi?
Upeleke wapi?
Swali gani?
Ukishachukua unalifanya au linakushinda?Hilo la log[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuacha ufe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukishachukua unalifanya au linakushinda?
Nitalifanya mwenyewe kujikomboaNakuacha ufe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si napewa MimiNitalifanya mwenyewe kujikomboa
Pyua Kiduku Lilo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe ni mhaya[emoji134]
Ukishachukua unalifanya au linakushinda?
Bila shemeji yangu mpendwa carbamazepine hii timu yenu haijatimia [emoji16][emoji16][emoji16]Nakuacha ufe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji134][emoji134]Pyua Kiduku Lilo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
carbamazepine kd anakuitaBila shemeji yangu mpendwa carbamazepine hii timu yenu haijatimia [emoji16][emoji16][emoji16]
Sindio nakuibia SasaSi napewa Mimi
Hahah! Wachezaji tunapishana sana ndio maana Timu bado inapwayaBila shemeji yangu mpendwa carbamazepine hii timu yenu haijatimia [emoji16][emoji16][emoji16]
Unautani na Wahaya na wewe?[emoji134][emoji134]
Wahaya siyo watu kabisa [emoji2094]
Muite aje adake chozi hapa sasa hivicarbamazepine kd anakuita
Najua ni utani lakini usiseme hivyo. Bila Wahaya nchi hii isingekuwa hapo ilipo. Nimesoma huko kwao miaka 6 na wamesoma sana sawa tu na Wachaga na Wanyakyusa. Japo pale Bukoba mjini kumechoka kumechakaa miaka nenda miaka rudi lakini hilo lisikutishe. Ukiingia huko vijijini ndani ndani ndiyo utauona mziki wao. Maghorofa makali na ma Range Rovers yamepaki tu na getini wanakuwekea na jina la mwenye mji na madigrii yake yote. Na kwa ujumla ni wakarimu sana (hasa wao kwa wao) na mabinti wa huko ni wapole, hawana choyo, weusi wa asili wenye mamiguu na misambwanda ya kufa mtu. Mbali na majivuno na kujiona kuwa wao ni bora kuliko makabila mengine yote, ni watu wema sana. Baadhi ya marafiki zangu wa kweli ni Wahaya niliosoma nao huko![emoji134][emoji134]
Wahaya siyo watu kabisa [emoji2094]
Halafu nadhani sijakukaribisha hapa tena bro. Hongera kwa kumaliza chimbo lako salama na karibu tena japo hiyo avatar inanikera balaa kwa sababu kabisa haiendani na haiba yako.Hahah! Wachezaji tunapishana sana ndio maana Timu bado inapwaya
Ila ni wahuni balaaNajua ni utani lakini usiseme hivyo. Bila Wahaya nchi hii isingekuwa hapo ilipo. Nimesoma huko kwao miaka 6 na wamesoma sana sawa tu na Wachaga na Wanyakyusa. Japo pale Bukoba mjini kumechoka kumechakaa miaka nenda miaka rudi lakini hilo lisikutishe. Ukiingia huko vijijini ndani ndani ndiyo utauona mziki wao. Maghorofa makali na ma Range Rovers yamepaki tu na getini wanakuwekea na jina la mwenye mji na madigrii yake yote. Na kwa ujumla ni wakarimu sana (hasa wao kwa wao) na mabinti wa huko ni wapole, hawana choyo, weusi wa asili wenye mamiguu na misambwanda ya kufa mtu. Mbali na majivuno na kujiona kuwa wao ni bora kuliko makabila mengine yote, ni watu wema sana. Baadhi ya marafiki zangu wa kweli ni Wahaya niliosoma nao huko!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muite aje adake chozi hapa sasa hivi
Hasa watoto wa kiume ndio kabisa[emoji2094]Unautani na Wahaya na wewe?
Na Mimi sikuachii ng'ooSindio nakuibia Sasa
Shukrani sana bro(Mungu ni mkubwa) ila tena soon kama akibariki nahisi nitakuwa narudi chimbo, kuhusu avater ngoja nifanye michakato itoke hapo....Halafu nadhani sijakukaribisha hapa tena bro. Hongera kwa kumaliza chimbo lako salama na karibu tena japo hiyo avatar inanikera balaa kwa sababu kabisa haiendani na haiba yako.
Nyote watatu mkiwepo hapa kabumbu huwa linasakatwa kweli kweli. Huyo anayekosekana tumuombee awe salama huko aliko...