Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi mtu unajuaje kama kabila lako unaweza kuwa na utani na kabila flani au kuna kitabu cha makabila huko Wizara ya Tamaduni na michezo kina haya mambo?
Unabangaiza tu bro. Ukikoromewa unarudisha majeshi na kuapolojaizi. Kama uliyekuwa unajaribu kumtania ni wa kike unakomaa naye hivyo hivyo kibishi bishi mpaka unamkula na maisha yanaendelea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Shukrani sana bro(Mungu ni mkubwa) ila tena soon kama akibariki nahisi nitakuwa narudi chimbo, kuhusu avater ngoja nifanye michakato itoke hapo....

Huyu Carba huyu atarudi tu muda sio mwingi, Mungu amsaidie akamilishe majukumu yake salama
Mungu Atabariki bro. Wakati ndiyo huu...

Vipi zile tuhuma kuwa eti uliondoka na mpendwa wetu sana Hawachi? Yeye atarudi lini hapa jukwaani?
 
Unabangaiza tu bro. Ukikoromewa unarudisha majeshi na kuapolojaizi. Kama uliyekuwa unajaribu kumtania ni wa kike unakomaa naye hivyo hivyo kibishi bishi mpaka unamkula na maisha yanaendelea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😂😂😂😂😂😂

Binti mpole ni mtani wangu na aone hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Binti mpole ni mtani wangu na aone hapa
Binti mpole tena? Hapo utaishia kula za uso tu. Ni anonimazi foreva [emoji16][emoji16][emoji16]

Note: Wasukuma sisi, kwa vile ni kabila kubwa na tumeenea nchi nzima; ukiongezea na upole wetu, tunataniwa karibu na kila mtu hapa nchini. Kwa hiyo sehemu nzuri ya kuanzia ni kwa Wasukuma...ila tu usizidishe sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahah! Mkate mgumu yake chao bro ...

Kila kitu kikizidi kinapoteza maana ila nashukuru kwakunipa pakuanzishia utani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…