Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afrika hoyeee !!!

Tumsifu Mungu na kumshukuru sana. Korona hii inayoteketeza wazungu hii ingefika kwetu na makali yake haya haya ingekuwa hatari sana. Mungu Ametusimamia mno katika hili. Mataifa mengi uchumi umevurugika. Watu hawana kazi. Maisha ni magumu na lockdowns hizi zimeleta madhara makubwa kweli wengine wanasema kuliko hata Korona yenyewe. Na kwa hili JPM anastahili pongezi kabisa. Uongozi wakati mwingine ni kuwa na uwezo wa kuchukua maamuzi magumu na hili lilikuwa gumu kweli kweli. Tumuombe Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…