Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400040900762_214656.jpg
 
Afrika hoyeee !!!

Tumsifu Mungu na kumshukuru sana. Korona hii inayoteketeza wazungu hii ingefika kwetu na makali yake haya haya ingekuwa hatari sana. Mungu Ametusimamia mno katika hili. Mataifa mengi uchumi umevurugika. Watu hawana kazi. Maisha ni magumu na lockdowns hizi zimeleta madhara makubwa kweli wengine wanasema kuliko hata Korona yenyewe. Na kwa hili JPM anastahili pongezi kabisa. Uongozi wakati mwingine ni kuwa na uwezo wa kuchukua maamuzi magumu na hili lilikuwa gumu kweli kweli. Tumuombe Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

View attachment 1551000
NAUNGA mkono hoja.
Hata wale waliojifanya kumuomba Mungu ni upuuzi leo nao wameona umuhimu wa maombi.
Sote pamoja tumshukuru Mwenyezi Mungu na tuseme.

Alhamdulillah.
 
Back
Top Bottom