Dalili hizo ni kama kukojoa mkojo wa rangi nyeusi,macho na ngozi kuwa njano, kichefichefu cha mara kwa mara, kupungua uzuto, homakali, mwili kuwa dhaifu, kupoteza hamu ya kula na maumivu makali ya tumbo karibuna ini.
Virusi vya ugonjwa huu wa homa ya manjano ni hatari kuliko vya ukimwi maana vinaweza kukaa nje ya mfumo wa damu mpaka siku saba, wakati vya ukimwi haviwezi kufika hata dakika moja.
Mshubiri ni katika tiba za asili sana. Husaidia kuondoa miwasho kwenye ngozi.Pia kuponesha vidonda na michubuko kwnye ngozi. Kata jani lake kisha jipake kwenye jeraha, mchubuko au muwasho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.