Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vyakula vya mafuta huchangia kwa kiasi kikubwa kupata maradhi ya moyo hususani shinikizo la juu la damu yaani presha ya kupanda au shambulio la moyoyaani heart attack. Sababu kuu ni kuwa vyakula hivi husababisha mgando wa mafuta kwenye mishipa ya damu na kuifanya mishipa hii iwe na tundu nyembamba za kupitishia damu. Na hapa ndio panapoleta shinikizo la damu la kupanda.
 
Uvutaji wa sigara huweza kuathiri afya ya mvutaji na hili halina tabu kabisa maanai meandikwa kwenye maboksi ya sigara na sigara zenyewe kuwa UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO. Ila pia ijulukane kuwa hata mtu aliye pembeni ya mvutaji anaathirika kwa kiasi pia.
 
FB_IMG_1598637714731.jpg
 
Uvutaji wa sigara huweza kuathiri afya ya mvutaji na hili halina tabu kabisa maana imeandikwa kwenye maboksi ya sigara na sigara zenyewe kuwa UVUTAJI WASIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO. Ila pia ijulikane kuwa hata mtu aliye pembeni ya mvutaji anaathirika kwa kiasi pia.
 
Aaah kumbe
Inadaiwa Chunusi ni aina ya jini au shetani anayeishi majini. (Mto, Ziwa, Bahari)
Chunusi inadaiwa humchukua amtakaye katikati ya kundi la watu wengi.
Kwahiyo anaweza kumvuta mtu aliye nje ya maji akawaacha waliomo ndani ya hayo maji.
Niliwahi kushuhudia tukio la aina hiyo kwenye kijiji furani mkoa furani.
Inashangaza sana.

Mitaani mtu anayependwa na wengi hasa anayependwa na wanawake tunamfananisha na "chunusi".
Niliposema "hapa kuna chunusi" nilimaanisha hivyo
 
Sawa moudy,kuna rafiki yangu aliuliwa na chunusi baharini nilibaki kujiuliza huyo chunusi anakua kwenye umbo gani?kubwa kama mamba ama? Ulikua msiba mzito. May her soul Rest In Peace
 
Sawa moudy,kuna rafiki yangu aliuliwa na chunusi baharini nilibaki kujiuliza huyo chunusi anakua kwenye umbo gani?kubwa kama mamba ama? Ulikua msiba mzito. May her soul Rest In Peace
Pole sana.
Wajuaji wanasema Chunusi haonekani, maana ni Jini.
Kwahiyo hafanani na Mamba wala Kiboko.
Hapa Dar yameshatokea matukio kadhaa ya aina hiyo ambayo yamewaacha watu vinywa wazi.
 
Back
Top Bottom