Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Aise[emoji28][emoji28][emoji28]...na ya kutolea kabsa sio?
Mambo ya ng'ombe ya wasukuma bro [emoji28]Hivi ng'ombe wa aina hii ndiyo wa kuolea wanawake wenye misambwanda iliyoshiba?
Cc SYB, Nsamaka, ningendako.View attachment 1549641
Hahaha ila net ikiwa kasi hako kakipande unakavuka fasta😅😅😅😅Wananiuzi mimi, basi tu
🙄Umeanza hivyoo...ila Ra mi-ran(Hong do-hee)😆 amenikosha sana kwenye Wolgyesu ya babuDaeHahaha ila net ikiwa kasi hako kakipande unakavuka fasta
ndo kwanza nimeianza naona ina muelekeo wa kuliza liza watu inaitwa social avengers club
Njema sana,sijui kwako mzee mwenzake? Weeknd ndio imeanza nasubiri mwalikoZa uzima TH?weekend inaendaje hapo?
Iko poa pia...mwaliko hujapata tu hadi muda huu[emoji28]?Njema sana,sijui kwako mzee mwenzake? Weeknd ndio imeanza nasubiri mwaliko
Haha, kwa vile bado natumia vile vinavyoleta nyuki mezani😬Iko poa pia...mwaliko hujapata tu hadi muda huu[emoji28]?
Hee hivi kumbe ni jina lake yupo kwenye social avengers na reply zote pia.🙄Umeanza hivyoo...ila Ra mi-ran(Hong do-hee)😆 amenikosha sana kwenye Wolgyesu ya babuDae
Nakupatia mwaliko mrembo!Haha, kwa vile bado natumia vile vinavyoleta nyuki mezani[emoji51]
inataka kufanana na wats happen to my family, hutojutia mb zako 😉Hee hivi kumbe ni jina lake yupo kwenye social avengers na reply zote pia.
Ntaivuta hio maana mnanitamanisha
Naungoja kwa bashashaNakupatia mwaliko mrembo!