myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Bwana u sehemu yangu😐
1646Jioni imeshika kasi
😀😀 Leo mimi ni mtazamaji tuLeo napata Jezi ya wapi?. Mr.flower.?
anhaa! Sijui leo nikae upande Shimba au mzee wa Madini.😀😀 Leo mimi ni mtazamaji tu
Kwa shimba japo watafungwaanhaa! Sijui leo nikae upande Shimba au mzee wa Madini.
Umeogopa nikienda Liver naweza nisirudi si ndio..?🙄Kwa shimba japo watafungwa
Njoo kwetu hutajuta TH [emoji16][emoji16][emoji16]anhaa! Sijui leo nikae upande Shimba au mzee wa Madini.
Hahaha! NdioUmeogopa nikienda Liver naweza nisirudi si ndio..?🙄
Hatufungwi. Si utaona...Kwa shimba japo watafungwa
Hahaha! ngoja tuone japo mimi sio livapuuHatufungwi. Si utaona...
Leo hao majogoo wenu maumivu tupu...
Mkulima unayelima kila aina ya mazao [emoji51][emoji51][emoji51]
Njoo kwetu hutajuta TH [emoji16][emoji16][emoji16]
Safiii....shibe kwanza