moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mkulima unayelima kila aina ya mazao [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1552054
Mkulima unayelima kila aina ya mazao [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1552054
[emoji23][emoji23]
AiseeCCM yafanya kweli Dodoma View attachment 1552112
Life is too short. This cancer thing sucks; RIP!
Kansa fala sana. Nina jamaa yangu hapa amekuwa akikohoa kohoa kwa muda sasa. Kikohozi kikavu halafu kifua kinamuuma. Kaenda kucheki kakutwa na lung cancer stage 4 na madaktari wamesema hawana la kufanya kwa sababu imeshaanza kwenda kwenye viungo vingine. Wamempa miezi 3-6. Just like that halafu bado kabisa mdogo na hajawahi kuvuta sigara wala nini. Kila siku aisee tuitumie vyema na kama ni kuhondomola tuhondomole sawa sawa [emoji16][emoji16]Life is too short. This cancer thing sucks; RIP!
2015 [emoji16][emoji16][emoji16]CCM yafanya kweli Dodoma View attachment 1552112