Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huwa haushonwi kwa sindano dogo [emoji16][emoji16][emoji16]
Maisha ni mafupi Sana. Na alikuwa anaugulia kimya kimya ndio inatukumbushia kuwa wakarimu hauwezi jua mtu anapigania matatizo gani 😢Life is too short. This cancer thing sucks; RIP!
InasikitishaKansa fala sana. Nina jamaa yangu hapa amekuwa akikohoa kohoa kwa muda sasa. Kikohozi kikavu halafu kifua kinamuuma. Kaenda kucheki kakutwa na lung cancer stage 4 na madaktari wamesema hawana la kufanya kwa sababu imeshaanza kwenda kwenye viungo vingine. Wamempa miezi 3-6. Just like that halafu bado kabisa mdogo na hajawahi kuvuta sigara wala nini. Kila siku aisee tuitumie vyema na kama ni kuhondomola tuhondomole sawa sawa [emoji16][emoji16]
Kansa ikishafikia stage hizo bana ndio basi tena, ina maana imeshatambaa kote huko. Inasikitisha sana, inabidi kila siku tuitumie vyema kwa kweli. Wapenzi wa Misambwanda tuendelee kuifurahia, na sisi WAGUMU tuuendeleze ugumu kwa nguvu zote. 😁😁🏃♂️🏃♂️Kansa fala sana. Nina jamaa yangu hapa amekuwa akikohoa kohoa kwa muda sasa. Kikohozi kikavu halafu kifua kinamuuma. Kaenda kucheki kakutwa na lung cancer stage 4 na madaktari wamesema hawana la kufanya kwa sababu imeshaanza kwenda kwenye viungo vingine. Wamempa miezi 3-6. Just like that halafu bado kabisa mdogo na hajawahi kuvuta sigara wala nini. Kila siku aisee tuitumie vyema na kama ni kuhondomola tuhondomole sawa sawa [emoji16][emoji16]
Bro sasa unasemaje? Sikusema mimi hapa kuwa hao utopolo tunawapa kichapo leo. Tangu wachukue ubingwa wa EPL bado wanashangilia mpaka leo. Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
Mamiili yetu haya sisi ni tata mno. Kakiungo kamoja tu kakikorofisha basi. Tufurahie maisha na kuwa karibu na Muumba wetu. Natumaini hujambo sis wangu wa nguvu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Inasikitisha
Hahaha! wapi moudgulfBro sasa unasemaje? Sikusema mimi hapa kuwa hao utopolo tunawapa kichapo leo. Tangu wachukue ubingwa wa EPL bado wanashangilia mpaka leo. Hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1552320
Sijambo Kaka yangu hofu kwako.....bado napambana na vile vitabu ulinitumia nimemaliza Purple hibiscus na Americanah nimevipenda kwakweliMamiili yetu haya sisi ni tata mno. Kakiungo kamoja tu kakikorofisha basi. Tufurahie maisha na kuwa karibu na Muumba wetu. Natumaini hujambo sis wangu wa nguvu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huku kwema sis. Aibu kubwa hivyo vitabu sijasoma hata kimoja japo vinasifiwa kweli kweli na vimempa umaarufu mkubwa mwandishi mpaka anagombaniwa na vyuo vikuu mbalimbali USA akafundishe Creative Writing na African Literature. Napenda sana kwamba unapenda kusoma vitabu. Uko levo nyingine kabisa sis [emoji1547][emoji1547][emoji1547]Sijambo Kaka yangu hofu kwako.....bado napambana na vile vitabu ulinitumia nimemaliza Purple hibiscus na Americanah nimevipenda kwakweli
Asante Bro ukipata muda visome ni vizuri sanaHuku kwema sis. Aibu kubwa hivyo vitabu sijasoma hata kimoja japo vinasifiwa kweli kweli na vimempa umaarufu mkubwa mwandishi mpaka anagombaniwa na vyuo vikuu mbalimbali USA akafundishe Creative Writing na African Literature. Napenda sana kwamba unapenda kusoma vitabu. Uko levo nyingine kabisa sis [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Hivi ni kweli una miaka 75? Kwa futa hili miaka 75 kweli!!!Hii wikendi hii imejaa majaribu kweli kweli ila nitashinda tu [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1552316
Nitajitahidi sis [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Asante Bro ukipata muda visome ni vizuri sana
Nitakushtakia kwa dadangu aisee....[emoji16][emoji16][emoji16]Hivi ni kweli una miaka 75? Kwa futa hili miaka 75 kweli!!!
Wee mzee nimejaribu kukagua huo mpasuko wa nyuma na mabongonyo bongonyo ya nyama kwenye hiyo mipaja.... Aisee!!!
Haya maisha jamani jamani jamaniiiii
Mkuu kakideo kama ka siku ilee naomba nione mtikisiko nitaridhika.
Shemeji wewe ni ndugu yangu, nisaidie tafadhali maana nimesha tenda dhambi ya kwanza, kakideo katanisaidia kutenda dhambi ya pili, hiyo ya tatu achana nayo nitaitengenezea mazingira ya kumalizana nayo.
Dah unanitisha mbona mkuu.Kansa fala sana. Nina jamaa yangu hapa amekuwa akikohoa kohoa kwa muda sasa. Kikohozi kikavu halafu kifua kinamuuma. Kaenda kucheki kakutwa na lung cancer stage 4 na madaktari wamesema hawana la kufanya kwa sababu imeshaanza kwenda kwenye viungo vingine. Wamempa miezi 3-6. Just like that halafu bado kabisa mdogo na hajawahi kuvuta sigara wala nini. Kila siku aisee tuitumie vyema na kama ni kuhondomola tuhondomole sawa sawa [emoji16][emoji16]