Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Life is too short. This cancer thing sucks; RIP!
Kansa fala sana. Nina jamaa yangu hapa amekuwa akikohoa kohoa kwa muda sasa. Kikohozi kikavu halafu kifua kinamuuma. Kaenda kucheki kakutwa na lung cancer stage 4 na madaktari wamesema hawana la kufanya kwa sababu imeshaanza kwenda kwenye viungo vingine. Wamempa miezi 3-6. Just like that halafu bado kabisa mdogo na hajawahi kuvuta sigara wala nini. Kila siku aisee tuitumie vyema na kama ni kuhondomola tuhondomole sawa sawa [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…