Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inasikitisha
 
Kansa ikishafikia stage hizo bana ndio basi tena, ina maana imeshatambaa kote huko. Inasikitisha sana, inabidi kila siku tuitumie vyema kwa kweli. Wapenzi wa Misambwanda tuendelee kuifurahia, na sisi WAGUMU tuuendeleze ugumu kwa nguvu zote. 😁😁🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mamiili yetu haya sisi ni tata mno. Kakiungo kamoja tu kakikorofisha basi. Tufurahie maisha na kuwa karibu na Muumba wetu. Natumaini hujambo sis wangu wa nguvu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sijambo Kaka yangu hofu kwako.....bado napambana na vile vitabu ulinitumia nimemaliza Purple hibiscus na Americanah nimevipenda kwakweli
 
Sijambo Kaka yangu hofu kwako.....bado napambana na vile vitabu ulinitumia nimemaliza Purple hibiscus na Americanah nimevipenda kwakweli
Huku kwema sis. Aibu kubwa hivyo vitabu sijasoma hata kimoja japo vinasifiwa kweli kweli na vimempa umaarufu mkubwa mwandishi mpaka anagombaniwa na vyuo vikuu mbalimbali USA akafundishe Creative Writing na African Literature. Napenda sana kwamba unapenda kusoma vitabu. Uko levo nyingine kabisa sis [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Asante Bro ukipata muda visome ni vizuri sana
 
Hii wikendi hii imejaa majaribu kweli kweli ila nitashinda tu [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1552316
Hivi ni kweli una miaka 75? Kwa futa hili miaka 75 kweli!!!
Wee mzee nimejaribu kukagua huo mpasuko wa nyuma na mabongonyo bongonyo ya nyama kwenye hiyo mipaja.... Aisee!!!
Haya maisha jamani jamani jamaniiiii

Mkuu kakideo kama ka siku ilee naomba nione mtikisiko nitaridhika.
Shemeji wewe ni ndugu yangu, nisaidie tafadhali maana nimesha tenda dhambi ya kwanza, kakideo katanisaidia kutenda dhambi ya pili, hiyo ya tatu achana nayo nitaitengenezea mazingira ya kumalizana nayo.
 
Nitakushtakia kwa dadangu aisee....[emoji16][emoji16][emoji16]

Huyu binti ni mpole sana na hana maneno mengi halafu amesimama katika haki na Neno. Huwa ananipa majaribu makali ila sijaweza kujua jinsi ya kujirushamo kwa sababu tunaheshimiana sana.

Miaka 75 ndiyo lakini siri yangu kubwa ni mazoezi na kula vizuri. Nimejipa miaka mingine mitano ndiyo naachana kabisa na haya mambo japo maisha bila kuhondomola sijui kama yana faida yo yote [emoji24][emoji24]
 
Dah unanitisha mbona mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…