Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umekuja na siasa zako huko. Nazikimbia huko kwenye magroup ya WhatsApp kwa sababu watu wanatukanana balaa japo ni magroup ya classmates. Kila zikianza hapa nitakuwa nahamia kwenye uzi wa kuselfika na vituko vya mtandaoni [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Shukran kwa somo refu bro
 
Tomato zina vitamini C kwa wingi. Wataalamu wa afya wanaelezakuwa vitamini hivi vina kazi kubwa ya kulinda mwili na maradhi mbalimbali. Pia vitamini hivi vinakazi ya kuzuia utengenezwaji wa selibila ya mpangilio yaani seli za saratani.
 
HUDUMA YA KWANZA.

1.kwamtu aliyegongwa na nyoka anatakiwa haraka afunge juu kidogo ya alipogongwa kwa kitambaa safi au kitu cha kukaza.

Kisha aondoe meno kwenye eneo alogongwa kama yapo.

Halafu achanje ili patoke damu.

Aitembee mwenyewe kama kuna uwezekano huo.

Awahishwe hospitali.
 
Mtu along’atwa na nyuki anatakiwa atolewe miba kwa kutumia kitu chenye ncha kali kama kisu au sindano.

Asitumie kucha maana zitasaidia kuminya sumu.

Aondolewe miiba yote na atapishwe ili kuondoa sumu iliyopo tumboni kisha awahishwe hospitali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…